Ajira mpya posts
Tunatoa huduma ya kuposts Bure free Ajira na kazi mbalimbali, aina zote za waliosoma na wasiosoma, kupitia mitandao yetu yote ya jamii bila kulipia kila siku, hakikisha una follow account zetu sehem zote online, Facebook, Twitter na Instagram.
Subscriptions, social media such as Instagram
Tunatoa nafasi kwa watu ambao wataweza kulipia au subscriptions ili wawe wanapata Posts za ajira na kazi special na wa kwanza kutoka kwa waajiri moja kwa moja kupitia social media zetu kama Instagram bei poa.
Ajira portal registration & problem solutions
Tunafanya Ajira portal registrations online, kwa ngazi zote za elimu ambapo utakuwa na urahisi wa kupata kazi na ku apply ajira na kazi, tunatoa solutions ya matatizo ya Ajira portal yanayowezekana, Pay after.
Premier Ajira WhatsApp & Telegram group
Tunatoa nafasi kwa watu wanaoweza kujiunga na magroup yetu ya bure kujiunga na yale special ya kulipia yanaitwa premier Whats'app and Telegram kwa bei poa kabisa, Zanzibar na Tanzania.
CV or Resume, & cover letter making
Tunatoa huduma ya kutengeneza Professional single page CV au Resume na CV za kawaida kwa bei poa kabisa Unalipia baada ya kazi yako, pia tunatengeneza covers letter za kuombea ajira na kazi pay after.
Jobs application assistance & Ajira jobs Recruitments
Tunatoa nafasi kwa ambao wanahitaji tuwafanyie applications za ajira na kazi mbalimbali pia tunahusika na kusambaza CV kwenye private, public, personal sector, na kutoa connection za ajira na kazi.